Friday, December 5, 2008

IFMSO NA WANAFUNZI KAENI CHINI MJIULIZE??

Ninaamini kiongozi bora huonyesha dalili tangu akiwa kijana au mtoto kwa kuongoza vizuri jambo alilopewa au kutumia vizur madaraka aliyopewa.........!!
Hii inajumuisha viongozi mashuleni,vyuoni hata katika taasisi za dini....Mfano mzuri ni kwa Barrack Obama, mwana Afrika Mashariki na specifically Mjaluo aliyeshika ikulu yenye heshima zaidi dunian...alionyesha dalili hizo tangu akiwa shuleni...alipokuwa Harvard akisomea digrii ya sheria alikuwa kiongozi wa Association yao na bado alikuwa akijishughulisha na shughuli za Kijamii huko Chicago, Illinois!!

Lakini viongozi wa wanafunzi vyuoni mmeshindwa kuonyesha hilo na mmekuwa mkionyesha uzembe dhahiri katika maamuzi yenu na vtendo vyenu...inaonyesha kabisa hamfai kuwa viongozi wa taifa hili huko baadae!!

IFMSO au tunaweza kuwaita viongozi wa serikali ya wanafunzi IFM mmeonyesha uzembe mmkubwa wiki iliyopita kwa kuitisha wanafunzi wagomee ratiba ya mitihani iliyokuwa imebana!!waligoma siku mbili halafu mkawaambia watulie mnafanya mazungumzo na uongozi wa Chuo...................!!..........Kuonyesha uzembe zaidi nia kwamba baada ya hapo wiki iliyofuata wanafunzi walifanya mitihani kwa kufuata ratiba ileile waliyoigomea....hayo hayo kama wenzenu walioikataa sera na baadae wakaikubali!!

Sasa mliitisha mgomo wa nini??mlishindwa kufanya consultation na uongozi wabadili ratiba kabla ya kuitisha mgomo....au mliuandaa mgomo kwa maslahi binafsi??.......au mlikuwa mnataka muonyeshe kuwa IFM pia wanajua kugoma??
Viongozi viongozi acheni uzembe na badala yake mfanye vitu kisomi na sio kupotezea wanafunzi muda wao kwa sababu wanawaamini sana..........au mlikuwa mnataka mpate nafasi ya kusoma kwa sababu wiki ile mlikuwa mnajiandaa...!!

Msifanye nikakubaliana na walichosema kituo cha Clouds Fm kuwa mligomea mitihani sababu mlikuwa hamjajiandaa coz mnapenda sana starehe na wikend mnashinda sanaa pub.....!!

DON'T BITE ME WITH YOUR RESPONSE!!!!!!!!!!!!

82 comments:

Anonymous said...

No one will bite U Mr. Nyakua,lkn nataka nikueleze kitu kimoja nimegundua wewe ni mmojawapo wa wa'tanzania wengi ambao hamkuuelewa mgomo wa IFM,wanasema mambo ya ndani ya nyumba wanaoyajua ni wenye nyumba wenyewe,mimi ni Mwanafunzi wa IFM nataka nikujulishe ingawaje kwa juu-juu tu kuwa mgomo ule wa tarehe 24 na 25 ulikuwa na zaidi unachokielewa wewe,believe me wala huna haja ya kuwaamini Clouds,kwanza binafsi wala sikuwashangaa Clouds(si akina Paul James?) siyo kosa lao,ukianza kufuatailia hakuna hata mmoja aliyeisomea kwa maana ile ya kuisomea hiyo kazi yao,ni wale waliookotezwa'okotezwa tu na ndo maana ukikisikiliza kipindi chao cha Power breakfast utagundua kuna lots of mapungufu,anyway sina haja ya kuwaongelea sana wao.
Hapa sina haja ya kuwatetea viongozi wangu wa IFM-SO ksbb kwa upande fulani ninakubaliana na maneno yako ila kwa upande mwingine ninatofautiana,sitaingia in-details sana unless ukinitaka kufanya hivyo lkn nataka kukuambia wewe na wengineo wasikilza Powerbreakfast kuwa pamoja na wengine kufanya mitihani kwa ratiba ileile ambayo ilielezwa kugomewa hapo awali kuna mabadiliko makubwa sana kwa upande mwingine yaliyoletwa na matunda ya mgomo ule,mimi binafsi ni mmojawapo wa wa'faidikaji wa mabadiliko hayo,believe me.
Kwa leo naomba niishie hapa

Anonymous said...

Kuanzia leo sigomi teena!!!

Anonymous said...

Naomba muelewe hapa kwanza vijana wa IFM hawakugomea mtihani,bali WAMEGOMEA TEST! eti kisa wanafanya mpaka test 3 kwa cku moja,ilo lili nishangazaa sana,labda wenzetu wa IFM hawajui maana ya test,nisiwalahumu sana!!
ila kimsingi mmekitia aibu kubwa chuo chenu kwa upuuzi mlioufanya! badilikeni wasomi!!

Anonymous said...

KSB umeishia level gani ya elimu? inawezekana kutumia neno "siwalahumu" badala ya "siwalaumu" isiwe kosa lako,anyway nimegundua hujui unachoongea,wacha tuishie hapa.

Anonymous said...

Anselm tatizo lako lipo ktk hilo neno au hoja nzima?

Anonymous said...

Anselm unataka kumpinga KSB kwa lipi,au aliyoyasema ukubaliani nayo? swala la level aliyofikia siyo tatizo kimsingi kile alichojadili kina mantiki,ujawahi kuona mwalimu wako amechapia class? acha uzemba ww,nimetumia UZEMBA jadili na hilo!!!1

Anonymous said...

naomba kujua faida mlozipata baada ya mgomo na hasara mlopata

halafu kabla hamjaamua kugoma tena linganisheni ni faida au hasara zilokua nyingi mlopata?kama ni faida nyingi basi mgomo oyeeeee!nawapongeza.....!

lkn kama ni hasara nyingi basi acheni upumbavu tafuteni suluhisho jengine.kumbuka msemi wa kiswahili usemao mpiga ngumi ukuta huumia mwenyewe.

all the best ndugu zangu just ushauri tu!

Anonymous said...

Puppy ngoja kwanza "Wahanga" wa mgomo wa UDSM waeleze walichonufaika kutokana na mgomo wao then na mimi ndo nitakuambia tulichonufaika kutokana na mgomo wetu.

Anonymous said...

UDSM hamna tulichofaidi mateso tu...na hamna faida tuliyopata
mi nadhani siasa ziishe vyuoni mwetu.

Anonymous said...

we anselm kwann UDSM ndio waanze wao au unataka kukopi mawazo yao,nyie mmechemsha sana,uwezi kugomea test mwanafunzi wa elimu ya juu,udsm walikuwa wanatetea maslai ya vyuo vyuo mkiwemo nyinyi wajinga wa ifm,sasa insteady of kusapoti udsm ktk mgomo wa 100% nyie mnafanya ufala huo mabwege sana wanafunzi wa ifm,hasa ww unayetetea upuuzi wenu,falaaa sana wewe!!!!!!!

Anonymous said...

bro hapo juu nini tena kutukanana....tueleweshane peaceful we are intellectuals!!

Anonymous said...

Anony wa Dec 17 6:08Pm,siyo kosa lako wewe kama uko UDSM utakuwa umetumia cheti cha Marehemu fulani kuingia hapo na kwa kitendo hicho ni kama umelaanika ndo maana unatukana ovyo.Ni jambo la kushangaza Msomi unashindwa kuonyesha utofauti ulioko kati yako na wapiga debe wa Tandale kwa Mtogole,this is very dissapointing.
Anyway mimi sikuwa na haja ya ku'support mgomo wenu wa kitaahira..eti 100%,100% kwa uchumi bora gani tulionao? hivi umeshawahi kufanya research kujua ni kiasi gani cha wanafunzi wanahitajika kuingia Vyuo vikuu kila mwaka,roughly angalia kuna Vyuo vya elimu ya juu vingapi sasa hivi hapa nchini,angalia recruitment zao kila mwaka unaweza ukapata idea ni wanafunzi wangapi wanaokuwa admitted kila mwaka kisha kwa huohuo ufahamu wako finyu ulionao jiulize je serikali yetu inaweza kumudu kusomesha wote kwa 100% wakati marejesho yenyewe ya watu waliosoma zamani hayafanyiki,watu hawalipi...ukishajiuliza hayo ndo unaweza ukaongea mbele ya kadamnasi.
"Eti uwezi kugomea test" aliyekuambia kuna watu waligomea test kama test nani,embu achana na mgomo wa IFM,wewe shughulika na jinsi gani uta'recover ulichopoteza katika kipindi chote hichi ulichokuwa umejibanza kwa Rafiki zako kusubiri hisani ya serikali kukurudisha Chuoni kwakuwa ulishindwa kurudi Tarafani kwenu ksbb hukuwa na nauli,unaongea na mimi unafikiri mimi mwenzio mwenzako napiga shule kama kawaida,tena jana na juzi nilikuwa napiga zangu Test natengeneza Course work na for your information I pay for my own school fees(wewe mwenyewe si unaisikia ada ya IFM?) I pay for my own na bado nakulipia sehemu ya ada yako katika kodi ninayokatwa kila mwezi,sasa napunjika kwaajili yako hlf bado unanitukana?
unaniita mjinga ksbb si'support(u....e) wenu? mimi ninajua nini ninachofanya wewe na ndo maana nikimaliza IFM kitakachofuata ni kuwa promoted au ku'turn to a green pasture tofauti na wewe utakayekuwa unasaga rami kutafuta kazi na Degree yako isiyokuwa na value,tena kama utafanikiwa kumaliza ksbb kuna kila dalili utaishia njiani.
Wacha nifanye kazi za ujenzi wa Taifa hili la Anony wa Dec 17,6:08Pm kwanza,nitarudi tena baadaye.
Nilisahau asante sana Anony wa Dec 17,12:11Pm kwa kujiongelea ukweli.
Am out!

Anonymous said...

anselm mbona hivyo bro!!...tek it easy man
you kno pple differs na katika uchambuzi wa hoja pia watu tunatofautiana..
mimi ni mwanafunzi wa UDSM lskini for sure sikuunga mkono mgomo..this z bcoz i knew who and what is behind that mgomo..usiasa na maslahi binafsi yalitawala yakiwa nyuma ya hiyo 100%...nina evidence na ninaweza kutoa popote...i agree with you anselm but control your temper kwani watu kama hao wako kwenye jamii!!they are not after reality..they are after themselvs

Anonymous said...

EMMINO mbona kimya...we want to hear from you bro!!...what the hell z goin out there...we are in need of your tips bro!!

Anonymous said...

wewe anselm nani kakwambia degree holder watasaga rami?

wewe na hicho ki higher diploma chako tena cha ifm? ungesema unasoma vyuo kama TIA,IAA etc....
ningeweza kusapoti maneno yako,

unajilipia kwa sababu una sifa za kupata sapoti ktk gvt ndio mana upo ifm wengi wenu mna div 3 ya 15 sponsa utaipata vp?
swala la fee hapo kwenu mbona ni sawa na vyuo vingine!

hivi unasoma higher diploma ya fani gani?

Anonymous said...

Ngoja nikueleze kidogo Anony wa saa 12:23 ili uweze kupata idea kidogo kuhusu mimi ni nani,kama unaweza ku'access batch ya waliochaguliwa kuingia UDSM 2005/2006 nenda Faculty of Commerce and Management(BCom-Acc) utakutana na hili jina,kwa ufupi nilichaguliwa kuingia hicho Chuo ambacho wewe na wachache wenzio mnaona kama ni pepo fulani mwaka huo sambamba na kuitika kwa deal fulani hivi ambayo nina uhakika hata wewe kama ungeshauriwa vizuri usingeweza kuiacha,nili'postponed mwaka huo wa msomo nikaingia kwenye hiyo deal,baada ya kupiga kazi kwa kama mwaka hivi,nikaona haifai kuiacha eti kurudi shule,nikafikiria vyuo gani vyenye hadhi vinavyotoa part time studies katika proffession yangu(lengo ikiwa ni kufanya vyote vi'2 kwa mpigo)nika'come-out with IFM nikaingia hapo 2006/2007 sasa hivi nipo 3rd year na nikimaliza hii ambayo wewe unaiita Higher Diploma+experience ya kazi niliyonayo nina uhakika wa kula ukuu wa kitengo hapa ninapopigia mzigo sasa hv,utanikuta tu kwenye Interview Panel na tai yako ambayo kwa vyovyote vile utakuwa umeifunga upande tu.
Ni maamuzi magumu ambayo kwa ufahamau wako wewe Anony wa Dec 19 12:23 na yule mwenzako wa Dec 17 msingethubutu kuyafanya.
Anyway nimetoa hii kwa ufupi ksbb naamini Intellectuals wengine wanaweza waka'learn something from my story.
Back to office work kwanza,tutaonana later!

Anonymous said...

Eti "nani kakwambia Degree holders watasaga rami" wewe jipe moyo tu lk usisahau hii ni 2000's na si 1970's and 80's Degree zilipokuwa chache,mind U hadi CBE sasa wameanza kutoa Degree,na kwa kukusaidia tu kama wewe unafanya Course za Finance hapo Mlimani usije ukathubutu kuingia Interview na Graduate wa IFM atakutoa knockout mbaya,this is fact whether you like it or not,wewe pambana na Supp zako hapo kwanza ukisha'graduate utakapokuwa unasaga rami utakumbuka haya maneno yangu.
Tulioko huku ndo tunafahamu,mambo yanaenda vp Mzee.

william jackson nyakua said...

KWAHIYO ANSELM UNATAKA KUNIAMBIA SABABU MIE MDAU MKUU NAPIGA BCOM ACCOUNTING..NA NI KOZI ZA FINANCE..NTAANGUSHWA MNO NA WATU WA IFM...
DUH...SIJUI ITAKUWAJE??BUT LETS WAIT...ILA STILL CPA(T) MATTERS WHETHER YOU ARE FROM UDSM OR IFM!!

Anonymous said...

ANSELM ulifaulu kwa kiwango gani na shule ipi ilisoma kaka?
inawezekana ata hiyo higher diploma huna sifa za kuisoma!!!

kwa hoja zako finyu.......

Anonymous said...

MI NASHANGAA MTU ANAGOMEA VIJARIBIO AU VITIHANI, ULIAMBIWA SHULE NI KULA MISOSI?

SHULE NI MAJARIBIO NA MITIHANI BABA!!!!!!!!

Anonymous said...

NYIE JAMAA WA UD MSIOGOPE LOLOTE, HAWA IFM NI KAMA MA-NURSE NA NINYI NI MADOKTA.

TUNATARAJIA WAJUWE KUFUNGA VIDONDA ZAIDI YENU, ILA IKIFIKA WAKATI WA PERESHENI, NAFAGILIA UD!!!

FAGILIA BABAKE, KUDADEK!!!!

Anonymous said...

Nyakua Kaka,am talking basing on the experince,luckly enough napiga kazi kwenye asasi ya kifedha na believe me wakuu wote wa idara(i.e Director of Finance and Admin,Chief Accountant etc) hapa ni Graduate wa IFM ofcourse plus the CPA's zao na wote wali'compete na Graduate wa UDSM lkn hawa Ma'boss wangu ndo walionyesha kufaa zaidi na ndo maana nasema UD nyie hamna mpinzani kwenye Ma'Sociology,Fine Art na Gallery lkn coming to Finance issues lipo jiko kuu la wapika washughulika na kazi za aina hiyo nalo ni IFM,this is fact whether U like it or not.
Anayeuliza nilifaulu kwa kiwango kipi na nilisoma shule ipi namhakikishia shule niliyosoma ni ya hadhi kuliko shule zote walizosoma yeye na ndugu zake wengine katika familia yake,na pia nina uhakika nilifaulu na ninaendelea kufaulu vizuri tu mpaka IFM

Anonymous said...

TATIZO KUPATA ONE HALAFU UCHAGUE IFM CHAGUO LA KWANZA KAMA CHUO HAIWEZEKANI.

NGUMU MNO.

MI NAFIKIRI SI KWAMBA IFM WANAWEZA KAZI SAANA ILA KUNA FAMILIA YA IFM AMBAYO HAITAKI KIZAZI KIFE.

WE UNAFIKIRI BOSI WA IFM ATAAJIRI UD? AMCHALENJI?

Anonymous said...

UD WANTISHIA FUTURE, WAZEE HAWATAKI KUACHIA VITI!!

Anonymous said...

sisi wabongo tuna zile methali zisemazo "aliye juu mngoje chini", "mpanda ngazi hushuka". Sisi hatutaki kupanda ngazi wala kuwa juu, tunasubiri walio juu wapate bahati mbaya tuwe nao chini.

Kawaida penye ushindani watu humshangilia mnyonge au mdhaifu kwa huruma na sympathy. Hii ndo credit ya watu wa IFM (div III).

Tukiwa fea, hivi sisi si ndo cream tokea levels za chini?

Hivi mwanafunzi gani anweza kutoa nchi za mbali (ie europe au america) kuja IFM?

Hivi IFM nayo wanaanza kudahili kwa degree, waongeze viwango vya kudahilia.

Anonymous said...

we anselemu kama umesomea shule ambazo wabongo wengine hawawezi kusoma basi hujasoma.

Hata kama unataka kujisifia kama umepita seminari, sisi ud seminari si tatizo, watu hufaulu saana seminari wakifika ud huishia soup tuu.

Inachotakiwa ni kuiva sio kukaririkariri past papers.

Anonymous said...

ANSELM bado ujaiva katk fani yako,kwanini unawaza kuajiriwa tu? au ndio mnavyofundishwa hapo INSTITUTE OF FEMALE MANAGEMENT?
kwann hufikirii kujiajiri? au kozi ya ujasiriamali hamjasoma?

nani kasema ifm wapo fit ktk finance,au mabosi zako wanaokutuma vitafunwa na lunch mchana?
au ndio hile methali ya wahenga ya "muamba ngoma uvutia kwake"
sio kosa lako ww anselm,poleeeeeee

Anonymous said...

Nyakua ni Jumatatu nyingine tukiikaribia Noeli,embu funga mjadala wa UD Vs IFM tuache wale wanaoamini UD ni bora ksbb tu ni University wabaki hivyohivyo lkn mimi pamoja na wengine wengi tu tutabaki na msimamo wetu huuhuu kuwa quality ya elimu inayotolewa UD ni ndogo sana nowdays,huwezi kuniambia mimi ninaye kaa kwenye dawati(kiti na meza) peke yangu namsikiliza Prof Satta akifundisha (FN 355)International Finance huku nikipulizwa na kiyoyozi uwezo wangu wa upokeaji wa material provided utalingana wa Mr. "So and so" aliyenyoosha shingo dirishani kwa nje akimsikiliza Dk. "So and so" aki'deliver Introduction to Finance Management(ngapi'ngapi sijui),utaona kabisa material yanayochukuliwa kwa dirishani lazima yatamtoka mchukuaji mapema sana hivyo atashindwa hata kuya'aply akiingia kwenye sekta zinazohitaji kufanyia kazi knowledge aliyosomea na kwa kugundua hayo ndo maana Waajiri wengi wameshtuka,nowdays hawaangalii cheti tu bali huangalia na uwezo wa ku'apply elimu aliyopata mtu kama inavyoonekana kwenye cheti,ksbb kama ni Cheti tu it is of no doubt that UD's certificates sound better tha IFM's lkn embu fikirieni wenyewe(najua mpo wengi mnaopitia hapa) wakati leo Dk Mashaushi anatarajia kuanza topic mpya ya 7 "Application for financial markets in Tanzania",you fellows(especially 3rd year) mpo home mnapiga msoto tu na wengine(hususani kina Dada) wakisubiri kigiza kiingie waingie maeneoX2 wakatafute chochote kitu cha kujikimu wakati wakisubiria Jan 2. Mpo home toka September sijui October mtarudi Jan mtasoma miezi 2 mtaingia kwenye wiki za mitihani mnamaliza,degree zenu kwapani mnaingia mtaani kutafuta kazi,Mwajiri gani atakayekuajiri wewe akulipe Laki zake kadhaa fulani kwa kukaa nyumbani miezi 4 katika 7 unayotakiwa kuwa shuleni ukisoma,unafikiri nani anaweza kudiriki kumuajiri mvurumusha matusi kama yule Bwege Anony wa Dec ngapi sijui hapo juu? HAKUNA.
Funga mjadala Mdau Mkuu

Anonymous said...

anselm,huu si mjadala wa udsm vs ifm,hapa tunajaribu kukuweka sawa wewe unaeshindwa kuelewa mambo na kuchambua mbivu na mbichi,
umabaki kung'ang'ania uongo makusudi wakati ukweli unaufahau!!!
Nani atakutambua wewe na higher diploma yako? wkt hata nchi jirani haipo (kenya & uganda)
hivi jiulize kwanini watu wote humu wapo against na wewe,kwasababu ya hoja zako finyu zikiongozwa na mawazo yako yasiyotanuka!!!

hivi msomi kama wewe unatoa hoja za kuajiriwa uatakuwa mjinga namna hiyo mpaka lini,au ndio ulivyofundishwa na huyo satta!!!

KUMBUKA ELIMU ya bongo ipo kama piramidi,kunajamii kubwa chini inatarajia makubwa kutoka kwako,ufanye investment ili nao watokee hapo!!
NDugu kaa ujiulize,na uache kuabudu hao mabosi wako wanaokutumatuma ktk ofc yako!!

Anonymous said...

kuna kitu ambacho Anselm na wenzako mnakosa.......yaani data...anselm ana data za sehemu anayofanyia kazi tu...na hopful itakuwa wizarani au local govt..
hebu cheki hizi data...
PWC,ERNST & YOUNG,DELLOITE N TOUCHE,KPMG,VODACOM,ZAIN,CITI BANK,STANBIC BANK,NBAA,BANDARI na sehemu nyinginezo nyingi...hizo ni sehemu ambazo nimepita na baadhi nimefanya kazi......wengi wa heads of finance na auditing hasahasa auditing firms nilizozitaja...managerial positions zimekaliwa na watu waliosoma UDSM!!
Nimebahatika pia kupita local government authorities kadhaa nikakuta heads wengi wametoke IFM...Coz kilikuwa chini ya wizara ya fewdha na ilikuwa ili watoe watu wa kuhuidumia wizara na local goverments!!ila most of private na multinatinational firms zimekaliwa na wa2 wa UDSM!!
KWAIYO NI KWAMBA WOTE HAMNA DATA.....NA HAMJAFANYA RESEARCH...ILA INANIHUZUNISHA SANA KULINGANISHA UDSM NA IFM..WAKATI KINGINE NI TAASISI NA KINGINE NI CHUO KIKUU....INTERNATIONALLY RECOGNISED NA KINGINE LOCAL RECOGNISED...HEBU PEVUKENI BWANA!!!

Anonymous said...

anselm atakuwa ana matatizo kidogo...yaani anaabudu kuajiriwa na kujivunia kwa mabosi kutoka chuoni kwake....expand your horizons..acha kufikiria kuwa mtumwa na waza kuwa entrepreneur na kuweka ma investment ili utoke...nahisi ndio hapo mnapotofautiana na wa2 wa UDSM nahisi wanafikiria zaidi....ila kimataifa..ifm bado saaaaaana!!yaani unahisi wote wanaolmaliza degree lazma watafute ajira..mbona hivyo??

Anonymous said...

Tutafika 2015.
KSB kwanza naomba utambue hakuna cheti cha higher diploma kinachotolewa na IFM,IFM walikuwa wana'offer Advance Diplomas na serikali ilipoamua kuanzisha Higher Diploma waka'turn(makusudically) to Degree na hiyo ndo sababu kubwa ya IFM kuanza kutoa Degree katika Corse zake kwa muhula wa masomo unaoanza 2008/2009,kama ulikuwa hufahamu.Nilidahiliwa kwa Advance Diploma nitakuwa awarded Advance Diploma,this is by law,you can call it Higher Diploma anyway,by constitute you are allowed.
2.Nenda kwenye prospectus za Advance Degree katika Chuo chako uangalie required qualifications zinazohitajika mtu kuwa nazo ili kuwa admitted kusoma Masters then utakuja kuniambia Advance Diploma ni nini.
Anony wa 12:16pm asante kwa hoja yako inayoonyesha angalau uko makini katika kuchambua vitu,lkn kitu kimoja nataka nikuweke sawa sijasema heads wa sectors zote nchini wanatokea IFM no,nilisema na nitaendelea kusema ksbb this is what I observed kuwa kwenye sector za Finance i.e Banks and other Financial Intermediaries heads wa Dept nyingi(nikatoa na mfano wa ninapofanyia kazi) wana inputs za IFM kama ni Undergraduates or Postgraduates whatever,niwakumbushe pia kuwa IFM pamoja na kuwa Institute lkn imekuwa ikitoa(kwa kushirikiana na other big Universities around the World) Masters kwa miaka mingi sasa,kwahiyo ninavyosema mtu anatoka IFM simaanishi ana ADA au ADB tu basi ndo kapewa kitengo,NO,anaweza hata akawa na BA Stat yake kutoka FASS lkn akaja kupiga Post au Masters yake IFM (na hawa tunao wengi) hiki ndo Chuo pekee kinachotoa pure finance outputs jamani,mbona mnakuwa wagumu kuelewa.
KSB kuhusu kusoma ili mtu ajiajiri,sawa sikatai wapo watu wa namna hii lkn ni wachache sana(embu fanya uchunguzi) sijui huko kwenu ksbb mna wigo mpana kwa mfano mtu anayechukua Fine Art,what is the ratio between kujiajiri na kuajiriwa,utaona possibility kubwa ya mtu huyo ni kujiajiri,amalize shule akafungue kibanda chake cha "Signwriter" aanze kula vichwa.
Masanja...nasikia ni graduate wa UDSM katika fani yake hiyohiyo ya sanaa,sasa asingeamua kujiajiri kwa kuchekesha unafikiri angefikia hata hapo alipofikia kuajiriwa na TBC1,wewe bwana kama ni mtu wa Gallery base kwenye mlengo huo lkn usijaribu kutu'convince na wengine tuanze kufikiria kujiajiri,tutajiajiri kwanza Capital tutapata wapi? au unataka tujiajiri ki namna gani? nisomee Finance(hakuna hata Entrepreneurship kama somo katika Course outline yangu) hlf nikafanyeje,nikafungue Carpently? embu nisaidie kunishauri,katika Course yangu nijiajiri vp ili niweze kutumia knowledge yangu niliyoipata IFM vizuri,naweza kujiajiri sawa lkn kama Subsidiary tu na nafikiri ili niweze kufanya hivyo ni lazima nisake Capital kwanza na hili nitafanikisha tu kama nitaajiriwa,unafikiri ni Bank gani itakayokubali kukukopesha wewe kama unatokea katika familia ya kimaskini kama yangu mtaji wa kukuwezesha kujiajiri na hako ka'Degree kako ka'1,tena ukiwa fresh from school,mimi nafikiri ili uweze kupata mtaji i.e mkopo ni lazima uwe na security,na one of the security ni employment(this is just for infomation anyway,go and consult Bankers)
Nafikiri umefika wakati sasa tujadili vitu kama Intellectuals,na si blah-blah tu.
Anayezungumzia niko peke yangu he/she is right,ni ksbb zifuatazo:-
1. Always ndo nilivyo,ili unibadili katika kile ninachokiamini na kukielewa kipo tofauti basi ni lazima uje kisomi,siyo kwa sera za mdomoni za kusoma na kujiajiri kama za KSB wakati kabla hata hajamaliza shule ashaanza ku'book huku na kule ili akimaliza tu asichelewe kupata ajira.
2. Ni ksbb hii Page ni mostly visited na UD Students,ulitegemea nini sasa.
Am having a Test,this evining and tomorrow see U keshokutwa Brothers and Sisters.
Am out!

Anonymous said...

mbona mnakua wajinga ivo kupondana nyote watz?

ivo mnafikiri mkitoka nje ya nchi kinajulikana degree yako imetoka chuo gani?

inajulikana tu umemaliza degree tanzania.

ila nataka kuwasupport watu wa udsm

ktk vyuo vinojulikana kimataifa afrika udsm nacho kimo so stop migogoro badala yake unganeni na mjadili vipi mnawezaleta maendeleo ktk vyuo vyenu,

wa huku wawasaisie wa huku ili vyuo vyote tz viendelee na sio kujıona bora sisi kuliko wengine mkitoka apo south africa tu nyote mnadharaulika!

Anonymous said...

anselm kwani unasoma kozi gani?

Anonymous said...

nselemu, hivi inawezekana kizio (degree) na diploma vikawa sawa?

Anonymous said...

Anselemu, hivi kwa nini IFM imeamua kuachana na diploma na kuanza kutoa degree?

Anonymous said...

Goodmorning all,
Nikianza na Anony wa saa 2:09am,IFM imeamua kuachana na Advance Diploma baada ya serikali kupitia bunge kuamua kubadili mtaala wa elimu ya juu Tanzania kuendana na nchi nyingine kimataifa,ikumbukwe hapo kabla Tanzania tulikuwa na Ordinary Diploma,Advance Diploma na Degree(Advance Diploma was equated to Degree)nchi nyingi hazina Advance Diploma,zina Higher Diploma na Degree,sasa kwa Serikali kubadili mtaala huo IFM (ukichukulia walikuwa wakidahili wanafunzi wa Advance Diploma kwa sifa sawa na wa Degree) wakaamua kugeukia Degree,na siyo IFM peke yao vyuo vyote vilivyokuwa vinatoa Advance Diploma i.e CBE,Ustawi wa Jamii,to mention but few have turned to Degree business na hii ni ksbb hawawezi ku'admit watu wenye sifa sawa na wanaokuwa admitted to UDSM kwenye Higher Diploma,hii isingeingia akilini.
Anony wa saa 10:54pm Degree ni Degree na Advance Diploma ni Advance Diploma lkn nikipiga fresh paper yangu tutakutana wote MBA Mlimani au hata New Hermpshire Netherand,na kama utakuwa unaendekeza migomo tutakutana wote Postgraduate IFM au Chuo cha Diplomasia Kurasini....nafikiri umenisoma.
KSB mimi nasoma Advance Diploma in Banking,wewe maliza shule uje nikufanyie mpango wa mkopo uende ukajiajiri.

Anonymous said...

Ooh sasa nimetambua kwanini KSB anaongelea masuala ya kujiajiri.Walisema kizuri share na wenzako wadau kujiajiri kwa wana UDSM kumeelezewa katika gazeti la Mwananchi la leo,pia unaweza kuipata habari hii kupitia blog ya Ulimwengu wangu at http://hans4real.blogspot.com/
Aisee mnatisha!

Egidio Ndabagoye said...

Ebwana,nawasoma wakubwa.

Anonymous said...

Anselemu, swali langu hukunielewa, nilitaka kujua ikiwa hiyo diploma ya IFM ni sawa na degree kwa nini IFM na vyuo vingine vya rank yake vinabadili na kwenda kwenye degree?

Kwa nini wanafunzi wa diploma wameleta tafrani katika vyuo hivi wakidai wapewe vizio (degree) ingawa hawakustahili kwa mitaala?

Anonymous said...

Anselemu, hilo dongo la mwananchi na kwenye blog yako siyo wanafunzi wa UD tuu, wa vyuo vyoote pia, hasa walio karibu na city center kama mtaa wa ohio n.k.

Hii pia ni tabia iko makazini na mitaani. People siku hizi wako sexy.

Anonymous said...

Anselemu, hawa mabinti wanafanya wakati huu mgumu tuu, wale wa IFM, DIT, na CBE na sekondari za huko kati ya mji hufanya kila siku kwa mwaka.

Hata hivyo kufanya uchafu huo hakuwafanyi hawa mabinti vilaza. Vilaza unawajuwa wako vyo gani.

Bora kuwa kipanga na tabia mbaya kuliko kilaza mwenye heshima hata asiyoifahamu. Akaa adundwa na mitihani hovyhovyo.

Anonymous said...

Anselemu na wengine kama wewe, si bora hawa angalau wanapata hela wakati wa kupoteza utu (dignity) wao, two birds in one: sex and money.

We demu wako mbona hata hela hapati anapoteza utu wake kwako bure bila malipo ila ahadi hewa za kuowana? Nani kipanga?

Usilete maongezi ya dini yako.

Anonymous said...

Asalalee....
Naona issue imewachoma wahusika wakuu,inaonekana kumbe hata humu wamo...jamani taratibu,tekini ise!

Anonymous said...

Anony wa saa 11:48pm ni afadhali wawe na hizo 2 birds in 1 basket kamili,tatizo wengi wao hu'acquire 3 birds in one(Money,Sex and HIV) matokeo yake Taifa litapata hasara in both kumpoteza msomi ambaye angekuja kuwa msaada sana katika ujenzi wa Taifa na pia hasara ksbb mkisha'dead HELSB hawatapata hela yao waliyokukopesha ambayo ungeirudisha baada ya kuanza kazi,sasa watawakopesha nini wadogo zako? sijui kama unaliona hili.
Hlf being in a relationship is quite different from being in a business,demu wangu ni my wife to be hapati hela ksbb tupo mbioni kuunganishwa nakuwa mwili mmoja kwahiyo changu ni chake na chake ni changu sina haja ya kumpa hela kila baada ya tendo,afterall she's lucky ksbb she's doing good with me,si unajua sitegemei boom!

Anonymous said...

Anselemu, changudoa huwa hapati HIV, wako makini kuliko wapenzi.

Kumbuka maambukizi ya ukimwi yanasababishwa na magonjwa mawili ya fikira: uaminifu na mapenzi. Huwezi kumwamini mtu kuhusu masuala ya zinaa, hamna mtu anaweza kuchomoa akiingia 18 ya zinaa, hata mapadri na maaskofu wanashindwa kama tunavyojionea wenyewe dunia nzima.

Kingine ulichonichekesha ni kuwa demu wako kajitoa mhanga kwako buree kabisa eti kwa matarajio ya kuoana, hana akili. Angekuwa na akili angesikubali kutoa uroda bila ya kupima na ndoa.Kama wewe unataka mwanamke na una hela kwa nini hujaoa mpaka sasa, we muhuni tuu unampotezea wakati binti ya watu.

Halafu ulivyoenda kinyume na falsafa yako ni pale uloposema "
afterall she's lucky ksbb she's doing good with me,si unajua sitegemei boom"

Ulimaanisha yeye hajiwezi, hana future, hana potential ya kujitegemea, anatarajia mafanikio yako ya baadaye ndo yawe yake hivyo yu avumilia/ngojea/subiri.

Hivi kukupa uroda kwa fikra hizi kuna tofauti gani na uchangudoa? Tofauti nayoiona ni kwamba mmoja ni "pay up front taslimu" na mwingine "anakopesha."

Tip: Tafsiri yangu ya changudoa ni mwanamke yeyote yule nayefanya ngono kwa kutarajia malipo ya aina yeyote ile wakati uliopo au wakati ujao (mkopo). Malipo hayo yanaweza kuwa fedha, mavazi, gari, nyumba, ulinzi (demu wa baunsa), hadhi (demu wa mhasibu), ....you name it!!!

Anonymous said...

Nyakuwa, J. usifute hiyo komenti hapo juu. Namwonyesha Anselemu namna ya ku-analyze misemo ili achunge ulimi wake.

Japo yeye si msomi saana lakini twatarajia aonyeshe level yake katika fikra na kauli.

Anonymous said...

Anselm, kauli yako ya mwisho ya December 24, 2008 9:12 AM inaonyesha unatambua demu wako hayuko huru (mtumwa ni neno kali saana lakini hamna jengine), yuko na wewe kwa sababu ya udhaifu wake na wewe una potential ya kupunguza makali ya udhaifu huo baadye.

Kama mnafanya mingono kwa mataraji ya kuona basi mko sawa na mtu anayesoma PCM akitaraji kuwa engineer.

Anonymous said...

Anselm, ndoa haihitaji practical training au kujifua kwa ngono kabla.

Anonymous said...

Anselm,sasa nimeamiani kweli ww bado!!!
big up kwa wote mnaojaribu kumweka anselm ktk right way..
mungu atamsaidia,mm nimemchoka huyo kijana,ni mgumu kuelewa sana labda upeo wake ni mdogo...

Anonymous said...

KSB umerudi,inaonekana ulipata nauli ya angalau kwenda kujumuika na familia yako kule Tarafani kwako katika kipindi hiki cha X-mass na Mwaka mpya,ashukuruwe aliyekuwezesha kwa hilo na next time usigome tena kitaakhira.
Kuhusu upeo wangu kuwa au kutokuwa mdogo nafikiri makaratasi yanaweza kuthibitisha hilo NECTA na UNEB pamoja na transcripts zangu za Semister 4 IFM ni documents muhimu za kuthibitisha hilo.

Anonymous said...

IFMSO bado sana nahisi wao wenyewe watakuwa na matabaka ya bachl na adv humo ndani cjui km watasaidiana vzr. HAYA NA HAWA WA BELOW NALIOTAKIWA KUFANYA REG. UPYA NDIO VP????

Anonymous said...

Aselm, utafanya mastazi hapo IFM au utachukuwa kwanza PGD hapo UD ili upate mastaz ya nguvu?

Anonymous said...

Nitapiga Masters Mzumbe Dsm Campus part time.
Swali lingine?

Anonymous said...

Anselm, kumbu unjuwa chama kubwa UD hawakupi admisheni mpaka upige PGD, safi saana.

Chukulia mastazi IFM bwana mcheza kwao ....? Au nenda Tumaini.

Anonymous said...

Na wale wanaokuja kupiga PGD IFM wakitokea UD,ni wacheza wa wapi,ugenini?
Tuombe uhai tu,huku tukiiombea uhai pia hii blog yetu,tutakuja kupeana report hapahapa

Anonymous said...

Hamna mtu mwenye digrii anachukua diploma acha uongo.

Anonymous said...

Kosa lako wewe kama siyo ndo unaingia Form VI mwaka huu basi uko 1st year,mana'ke unaongea usichokielewa,kwa kukusaidia tu soma kipande hiki:-
"A candidate for admission into a Postgraduate Diploma programme must have the
following qualifications:
At least a Bachelors Degree, Advanced Diploma or its equivalent from a recognized institution of higher learning.
Candidates with equivalent qualifications must also posses at least secondary school certificates with credit passes"
Siyo maneno yangu ni Entry qualification zilizobainishwa kwenye website ya UD kitengo cha Postgraduate studies,unaweza kutembelea ukajionea mwenyewe at http://postgraduate.udsm.ac.tz/
Halafu nakushauri siku nyingine kama huna uhakika na unachokiongea ni bora usiongee kabisa,kaa kimya utabaki na heshima yako.

Anonymous said...

Anselm, hukuona hii ya admisheni ya mastazi, http://postgraduate.udsm.ac.tz/page.php?id=17,

"An honours degree of the University of Dar es Salaam or an equivalent degree from another recognized University. Candidates who hold an unclassified degree (e.g., M.D.) should have at least a B grade average in the subject of the intended Masters study."

Hawajasema diploma bali "equivalent degree."

Nilitaka kushangaa yaani mtu ana bachela asichukuwe mastaz ahangaike na diploma?

Anonymous said...

Good,angalau sasa nafarijika kuona kuna watu wameanza ku'argue kisomi,lkn kwanini umeishia njiani?
Kwenye page hiyohiyo hujaona chini kule kuna statement inayosema "Candidates with equivalent qualifications must also posses at least secondary school certificates with credit passes." hii unaitafsilije wewe? unafikiri wanazungumzia equivalent qualifications gani tena ikiwa pale juu wameshazungumzia equivalent Degree?
Umeanza kunipa wasiwasi na kiwango chako cha ufanisi,usije kukuta wewe ndo kati ya wale maelfu ya wafanya mitihani wasiosoma Instructions mpaka mwisho wakati kila siku tunaambiwa instructions is part of examinations.
Halafu kwa faida ya wachukua Degree wote wasio na direction(wasiojua wanasoma kuelekea wapi) kama una Pass katika Degree yako na huna aditional training yeyote au hujafikia kiwango hitajika na faculty/institution inayo'provide hiyo Course unayotaka kuisomea Masters hakuna jinsi nyingine zaidi ya kupiga Postgraduate Diploma,this is known by waelewa wote na ndo maana wapo Graduate wa UD IFM wakichukua Postgraduate huwa napishana nao kwenye corridor kila siku,na wengine wapo kulekule UD wanakung'uta Postgraduate mbalimbali.
Kwahiyo bwana Anony wa Jan 10,wala huna haja ya kushangaa,hivi vitu vipo sana wewe fanya research yako tu,utakuja kukubali.

Anonymous said...

Ukicheza degree ya kwanza ukapata GPA ndogo hata ukifanya PGD ukaenda mpaka PhD, hiyo GPA ndogo itakufata tuu. Watu watasema ni Dr. lakini alikuwa na pass class. Sisemi wenye diploma ampbao alama za high school zitawafanyaje?

Anonymous said...

Uzuri wenyewe ukishasonga mbelembele huko watu hawaangalii nyuma umetokea wapi labda uwe Mwanasiasa ksbb vyama pinzani vinaweza kukuchimba na kukuanikia file lako,si unamuona Sarungi...ni Prof lkn habari zinasema mtihani wa darasa la saba sijui la 8 la kipindi hicho alipiga chini mbaya,lkn si unaona watu wakimzungumzia sasa hv wanamzungumzia kama Prof.

Anonymous said...

We Anselm hujui effect ya GPA, kila sehemu ukienda unaulizwa na kama huna GPA ni tatizo. Kama una GPA ikiwa ndogo ni kupigwa tarehe tuu.

Ili mradi zama za mafisadi zinaisha, yale masula ya mtu kuwa na pass halafu anapewa kazi kimjuwano yataisha.

Anonymous said...

Hello !.
might , probably very interested to know how one can manage to receive high yields .
There is no initial capital needed You may commense to receive yields with as small sum of money as 20-100 dollars.

AimTrust is what you thought of all the time
The company incorporates an offshore structure with advanced asset management technologies in production and delivery of pipes for oil and gas.

Its head office is in Panama with offices everywhere: In USA, Canada, Cyprus.
Do you want to become a happy investor?
That`s your choice That`s what you desire!

I feel good, I started to get income with the help of this company,
and I invite you to do the same. It`s all about how to select a proper companion utilizes your savings in a right way - that`s it!.
I take now up to 2G every day, and what I started with was a funny sum of 500 bucks!
It`s easy to get involved , just click this link http://edivehise.100megsfree5.com/pavepyl.html
and go! Let`s take this option together to get rid of nastiness of the life

Anonymous said...

Hello !.
You may , probably curious to know how one can collect a huge starting capital .
There is no initial capital needed You may begin earning with as small sum of money as 20-100 dollars.

AimTrust is what you haven`t ever dreamt of such a chance to become rich
AimTrust incorporates an offshore structure with advanced asset management technologies in production and delivery of pipes for oil and gas.

Its head office is in Panama with affiliates around the world.
Do you want to become an affluent person?
That`s your choice That`s what you wish in the long run!

I feel good, I began to take up income with the help of this company,
and I invite you to do the same. It`s all about how to select a proper companion who uses your funds in a right way - that`s it!.
I earn US$2,000 per day, and my first investment was 500 dollars only!
It`s easy to join , just click this link http://qugaqyki.servetown.com/jucorofu.html
and lucky you`re! Let`s take our chance together to get rid of nastiness of the life

Anonymous said...

Hello everyone!
I would like to burn a theme at here. There is such a nicey, called HYIP, or High Yield Investment Program. It reminds of ponzy-like structure, but in rare cases one may happen to meet a company that really pays up to 2% daily not on invested money, but from real profits.

For quite a long time, I make money with the help of these programs.
I'm with no money problems now, but there are heights that must be conquered . I make 2G daily, and I started with funny 500 bucks.
Right now, I'm very close at catching at last a guaranteed variant to make a sharp rise . Turn to my web site to get additional info.

http://theblogmoney.com

Anonymous said...

Good day!

Let me introduce myself,
friends call me Peter.
Generally I’m a venturesome gambler. recently I take a great interest in online-casino and poker.
Not long time ago I started my own blog, where I describe my virtual adventures.
Probably, it will be interesting for you to utilize special software facilitating winnings .
Please visit my blog. http://allbestcasino.com I’ll be glad would you find time to leave your opinion.

Anonymous said...

Quality posts is the main tο invіte the
ѵiewers to go to ѕee the web sіte, that's what this site is providing.

Also visit my weblog ... massage business
Also see my web site: types of massage

Anonymous said...

No matter if some one searches for his required thing,
thus he/she needs to be available that in detail, therefore
that thing is maintained over here.
My web-site mini forex trading

Anonymous said...

I just like the vаluаble infоrmation уou proviԁe
tо your агticles. I ωіll boоkmark yοur blog and chеck
agаin гight here regulаrlу.

I am rathеr certаin Ι ωill be informed а lot
оf neω ѕtuff rіght right here!
Best οf luсk fοг the following!
my web site: Loans for Bad Credit

Anonymous said...

You can definitely see your skills within the work you write.
The arena hopes for even more passionate writers such as you who are not afraid to mention how they believe.
All the time follow your heart.
Feel free to surf my web blog :: work at home job opportunities

Anonymous said...

Ι liκe the helpful informatіοn уоu ρrоvide in your аrticles.
I'll bookmark your blog and check again here regularly. I'm quite sure I will leаrn plenty of new stuff гight here!
Best of luck for thе neхt!

Also vіsit my webpagе payday loans
Also see my site :: payday loans

Anonymous said...

It's appropriate time to make some plans for the future and it is time to be happy. I've read this post and if I
could I want to suggest you few interesting things or suggestions.

Maybe you could write next articles referring to this
article. I want to read even more things about
it!

Also visit my web page :: binary options trading strategy

Anonymous said...

This is a topiс that's close to my heart... Take care! Where are your contact details though?

Take a look at my weblog; payday loans uk

Anonymous said...

Gгeаt beat ! I wіsh to арpгentice whilе you amеnd yοur ωеb sіte,
how could і ѕubscribe fοr а blog wеbsitе?
The account aideԁ me a aсceptable deal. І hаd been tinу
bit аcquainted of thiѕ your bгoadcast offered bright
clear іdea

Аlso visit my wеbsite; instant payday loans

Anonymous said...

Every weеkend i used tο visit this web page, as i ωіsh foг enjоyment,
fоr the reason that this this web site cоnаtіonѕ аctually
fastiԁious funny stuff too.

Also visit my homepage: Property for Sale

Anonymous said...

Thаnκ you for the goοd writеup.
It іn fact was a аmusement account it.
Look advanced to far adԁed agreeable from you!
However, how could we communicate?

Take а look at my sitе; payday loans

Anonymous said...

Wondeгful blog you have here but I ωаs cuгiοus
abοut if you κnew οf any community forums that coѵеr
thе ѕame tоpiсѕ ԁiscusseԁ here?

I'd really love to be a part of group where I can get responses from other experienced people that share the same interest. If you have any recommendations, please let me know. Thank you!

my web blog: payday loans

Anonymous said...

It's actually a cool and useful piece of info. I am glad that you just shared this helpful info with us. Please stay us up to date like this. Thank you for sharing.

Feel free to surf to my homepage payday loans

Anonymous said...

I alwаys spent my half an hour to read this websitе's posts daily along with a cup of coffee.

Also visit my website - Payday Loans

Anonymous said...

These modern fitness devices are worn around
the waist, positioned right around the abs and then applying what is identified as electronic muscle stimulation.



my page: Flex Belt coupons

Anonymous said...

Awesomе article.

Herе іs my sitе; Single Trip Travel Insurance